MBUNGE WA MKURANGA AOMBA RAIS MAGUFULI KUFUTA HATIMILIKI YA SHAMBA LENYE HEKARI 2472 LINALODAIWA KUMILIKIWA NA WAWEKEZAJI - Rhevan Media

MBUNGE WA MKURANGA AOMBA RAIS MAGUFULI KUFUTA HATIMILIKI YA SHAMBA LENYE HEKARI 2472 LINALODAIWA KUMILIKIWA NA WAWEKEZAJI


Mbunge Jimbo la Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa Mwanambaya, Luzando, Mipeko na Mlamleni juu ya kumuomba Rais Dkt. John Pombe Magufuli kufuta hatimiliki ya shamba lenye hekari 2472 linalodaiwa kumilikiwa na wawekezaji wenye asili ya Kiasia baada ya wawekezaji hao kushindwa kuliendeleza kwa muda mrefu na badala yake wapewe wananchi.
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Filberto Hassan Sanga (wa pili kutoka kushoto) na ujumbe wake wakiwasili katika mkutano uliofanyika leo mkoani Pwani.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkuranga, Msham Munde akizungumza na wananchi wa Mwanambaya, Luzando, Mipeko na Mlamleni katika mkutano uliofanyika leo mkoani Pwani.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mkuranga, Juma Abeid akizungumza na wananchi wa Mwanambaya, Luzando, Mipeko na Mlamleni katika mkutano uliofanyika leo mkoani Pwani.
Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, Salum Ally Papen akifafanua jambo kwenye mkutano uliofanyika leo mkoani Pwani. 


Previous
Next Post »