- Rhevan Media

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KATIKA MADUKA YA DAWA

daw1
Mkaguzi Mkuu wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Mwadini Ahmada Mwadini (kushoto) akifanya ukaguzi katika moja ya Duka la dawa kuangalia usalama wa dawa zinazouzwa na duka hilo lililopo mtaa wa kilimani.
daw2

daw3
Maafisa ukaguzi kutoka Bodi ya Chakula, Dawa na vipodozi wakiangalia dawa zinazoendelea kuuzwa na duka la Fahud liliopo Mkunazini Mjini Zanzibar.
Previous
Next Post »