VIDEO : RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MAHAFALI YA 31 YA CHUO KIKUU HURIA KIBAHA LEO. - Rhevan Media

VIDEO : RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MAHAFALI YA 31 YA CHUO KIKUU HURIA KIBAHA LEO.




 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati wakielekea kwenye Viwanja vya Chuo hicho, Bungo Kibaha Mkoani Pwani, katika Mahafali ya 31 ya Chuo hicho. 
Sehemu ya Wahitimu wa Kozi mbalimbali wa Chuo Kikuu Huria wakiwa katika Mahafali hayo.

Previous
Next Post »