UJUMBE WA KIBIASHARA KUTOKA UHOLANZI WAWASILI ZANZIBAR - Rhevan Media

UJUMBE WA KIBIASHARA KUTOKA UHOLANZI WAWASILI ZANZIBAR



 Ujumbe wa kibiashara kutoka Uholanzi wakiangalia namna ya Usafishaji wa Karafuu katika Ghala lililokuwepo kwa abasi useni Mjini Zanizbar.
 Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi ukitembelea katika Ghala la Karafuu lililokuwepo malindi Zanzibar na kujionea uchambuaji wa karafuu na mashine za Usafishaji.
Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi wakiangalia mashine maalum ya kusafishia karafuu katika Ghala la Malindi mjini Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Previous
Next Post »