TANZIA : BALOZI WAZIRI JUMA AFARIKI DUNIA , KUZIKWA ALHAMISI - Rhevan Media

TANZIA : BALOZI WAZIRI JUMA AFARIKI DUNIA , KUZIKWA ALHAMISI



Balozi mstaafu wa Tanzania nchini China na Sudan na mkuu wa mikoa mbalimbali katika serikali ya awamu ya kwanza Balozi Waziri Juma (pichani) amefariki dunia jana jijini Dar es salaam alikopelekwa kwa matibabu.
Kwa mujibu wa binti yake Mwanamuziki Kida Waziri, mwili wa marehemu utasafirishwa leo  Jumatano kupelekwa Tanga kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika siku ya Alhamisi kijijini kwake Nairobi Jirihini kata ya Gombero Wilaya ya Mkinga mkoa wa Tanga.
Innalillah Wa inna ilayh rajiun
Mola aiweke roho ya 
marehemu mahali pema peponi
- Amin,

Previous
Next Post »