TANAPA NA WADAU WA USAFIRI WA ANGA KUKUZA SEKTA YA UTALII NCHINI - Rhevan Media

TANAPA NA WADAU WA USAFIRI WA ANGA KUKUZA SEKTA YA UTALII NCHINI




Ndege ya shirika la Precision Air ikiwa tayari imetua katika uwanja wa Seronera ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoa wa Mara ikiwa na watalii 43 kutoka nchi Afrika Kusini iliyowachukua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere hatua inayoelezwa kuokoa muda na kupunguza gharama.


Watalii wakipata picha ya pamoja ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Meneja Uhusiano wa Tanapa,Pascal Shelutete akifafanua umuhimu wa ndege kubwa za abiria kwenda moja kwa moja kwenye hifadhi za taifa kutakavyoinua sekta ya utalii nchini.
Ndege ya shirika la Precision Air ikiruka kutoka uwanja mdogo wa Seronera ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoa wa Mara.
Makundi makubwa ya wanyama aina ya Nyumbu ni miongoni mwa vivutio ndani hifadhi ya Serengeti.

Previous
Next Post »