RC PAUL MAKONDA AZIDI KUISAFISHA DAR KWA KUKUTANA NA WANANCHI KWA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZAO - Rhevan Media

RC PAUL MAKONDA AZIDI KUISAFISHA DAR KWA KUKUTANA NA WANANCHI KWA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZAO



7
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda akiwasili na viongozi wa Wilaya ya Temeke katika soko la Temeke Sterio kwaajili ya kusikiliza kero za wananchi na wafanyabiashara wa soko hilo.
8
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda na viongozi wengine wakikagua usafi wa soko hilo.
9
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda akizungumza na wafanyabiashara wa soko hilo.
10
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda akisikiliza na kujibu kero mbalimbali za wananchi wa soko la Temeke Sterio jijini Dar es Salaam.


Previous
Next Post »