MUHIMBILI KUANZA KUFANYA UCHUNGUZI WA VIRUSI VYA HOMA YA INI - Rhevan Media

MUHIMBILI KUANZA KUFANYA UCHUNGUZI WA VIRUSI VYA HOMA YA INI

mnh-welcome-sign-640x375
Hospitali ya Taifa Muhimbili inatarajia kuanza kufanya uchunguzi wa virusi vya homa ya ini (hepatitis B) na kutoa tiba kwa kutumia dawa ya Tenofovir.
hep-b
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ini na Matumbo, John Rwegasha amesema hayo hii leo alipozungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili.
Amesema ugonjwa wa homa ya ini ni hatari na kwamba maambukizi yake ysnashabiana na yale ya virusi vya ukimwi
Previous
Next Post »