MAFUNZO YA SIKU TATU YA BIASHARA KWA VIJANA, FURSA ZA VIJANA PAMOJA NA TARATIBU NA SHERIA ZA KUFANYA BIASHARA NDANI YA SOKO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAFUNGULIWA JIJINI DAR - Rhevan Media

MAFUNZO YA SIKU TATU YA BIASHARA KWA VIJANA, FURSA ZA VIJANA PAMOJA NA TARATIBU NA SHERIA ZA KUFANYA BIASHARA NDANI YA SOKO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAFUNGULIWA JIJINI DAR



 Afisa Mradi, Kitengo cha Kujenga Uwezo kutoka shirika lisilo la Kiserikali la  ‘The Foundation For Civil Society’ Nasim Losai, akifungua rasmi Mafunzo ya siku tatu ya Biashara kwa Vijana , Fursa za Vijana pamoja na Taratibu na Sheria za kufanya Biashara ndani ya Soko Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mafunzo hayo yaliyoshirikisha Vijana wajasiliamali kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania yanatarajia kumalizika keshokutwa Nov 23, 2016. 
 Sehemu ya Washiriki wakisikiliza kwa makini wakati wa ufunguzi huo.

Sehemu ya Washiriki wakisikiliza kwa makini wakati wa ufunguzi huo.
 Sehemu ya Washiriki wakisikiliza kwa makini wakati wa ufunguzi huo.



Previous
Next Post »