ALI KIBA ASHINDA TUZO ZA NAFCA NA THE NOL - Rhevan Media

ALI KIBA ASHINDA TUZO ZA NAFCA NA THE NOL

Alikiba ashinda tuzo mbili za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA)
Alikiba ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za heshima kubwa za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA) ambazo hutolewa nchini Marekani.

Tuzo za mwaka huu zilitolewa wikiendi hii kwenye ukumbi wa Alex Theatre of Glendale, huko California. Zilikuwa ni tuzo za 6 na zilionekana katika nchi mbalimbali duniani.

Alikiba ameshinda kipengele cha Favorite Artist of The Year na Favorite Song of The Year
Previous
Next Post »