Hatimaye bodi ya MCC (Shirika la changamoto za milenia) imefunga rasmi ofisi zake zilizoko jijini Dar es Salaam na kuondoka nchini.
Hayo yanajiri miezi sita tangu bodi hiyo kusitisha rasmi misaada kwa Tanzania. Aidha kufungwa kwa ofisi hizo kumeambatana na kusitishwa kwa ajira za watanzania kadhaa waliokuwa wakifanya kazi na MCC nchini Tanzania ikiwemo shughuli za utafiti.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
Chanzo: Mwananchi
Sign up here with your email