Mtu mzima 2 Face Idibia alijikuta akila za uso kwenye show yake ya Kigali, Rwanda, Ijumaa iliyopita.
Katika show hiyo, ni takriban watu 50 tu walihudhuria na viti vingi
kwenye ukumbi huo vikibaki wazi. Lawama zimetupwa kwa waandaji wa show
hiyo.
“Poor management at #2Face #Kigali concert….He is a king of flop!! Lowest turn up ever, 50 revellers showed up. DAMN,” aliandika shabiki mmoja.
Mtandao wa Thenetng ulizungumza na staa huyo ambaye naye alitupa lawama kwa waandaji.
“I’m not the organizer of the show, I don’t live in Rwanda but apparently they didn’t do their homework. No matter the artiste’s name, if you don’t do your homework, promo and hype well that’s the result you’ll get. If you take Jay Z to Lagos without proper hype, same thing will happen,” alisema.
Alipoulizwa kama alijisika vibaya kutokana na show kuhudhuriwa na watu wachache,” alisema, “Naturally I was, but then I didn’t do anything wrong. I was contracted, I went, I fulfilled my part and the few people that came, I made sure they had a nice time and that’s all that matters to me.”
2 Face akitumbuiza mbele ya watu takriban 50 tu waliohudhuria kwenye show hiyo huku viti vingi vikiwa wazi
“Poor management at #2Face #Kigali concert….He is a king of flop!! Lowest turn up ever, 50 revellers showed up. DAMN,” aliandika shabiki mmoja.
Mtandao wa Thenetng ulizungumza na staa huyo ambaye naye alitupa lawama kwa waandaji.
“I’m not the organizer of the show, I don’t live in Rwanda but apparently they didn’t do their homework. No matter the artiste’s name, if you don’t do your homework, promo and hype well that’s the result you’ll get. If you take Jay Z to Lagos without proper hype, same thing will happen,” alisema.
Alipoulizwa kama alijisika vibaya kutokana na show kuhudhuriwa na watu wachache,” alisema, “Naturally I was, but then I didn’t do anything wrong. I was contracted, I went, I fulfilled my part and the few people that came, I made sure they had a nice time and that’s all that matters to me.”
Wiki kadhaa zilizopita Wizkid alitumbuiza show iliyofanikiwa kwa kiasi kikubwa
Sign up here with your email