Fethulla Gulen
Kundi la wabunge kutoka Uturuki liko hapa Wahington kushinikiza
maafisa wa serikali ya Marekani kukubali ombi la serikali ya Ankara
kutaka imamu wa zamani ambaye anatuhumiwa kupanga jaribio la kuipidua
serikali ya Uturuki arudishwe nyumbani.
Kamil Aydin, mbunge kutoka chama cha kizalendo cha mrengo wa Kulia cha National Movement Party, aliiambia Sauti ya Amerika kwamba wangetaka kuona Marekani ikichukua hatua za dhati dhidi ya Fethullah Gulen na inaponyamaza kuhusiana na ombi la itamhamisha. Alisema Uturuki ingetaka awekwe kizuizini au shughuli zake za kila siku kudhibitiwa.
Aydin na wabunge wengine watatu kutoka Uturuki walikutana na maafisa wa serikali ya Marekani katika waizara ya Sheria jana Jumatatu, kabla ya kuondoka na kwenda kufanya mazungumzo katika wizara ya usalama wa ndani na baadaye, wizara ya mambo ya nje.

Sign up here with your email