UKAWA MOTO - Rhevan Media

UKAWA MOTO

Askari wa Jeshi la Polisi wakifanya mazoezi ya kujiweka sawa miili yao
Askari wa Jeshi la Polisi wakifanya mazoezi ya kujiweka sawa miili yao

GIZA limetanda nchini kufuatia Serikali ya Rais John Magufuli kujiapiza kupambana na “Operesheni UKUTA,”
Taarifa kutoka serikalini zinasema, mkakati umepangwa wa kuhakikisha waratibu na watekelezaji “Operesheni UKUTA” wanakabiliwa kwa kipigo na vyombo vya dola. Mtoa taarifa za ndani wa gazeti hili amesema.
Previous
Next Post »