RIDHIWANI KIKWETE AIBUKA NA KUSEMA HAYA - Rhevan Media

RIDHIWANI KIKWETE AIBUKA NA KUSEMA HAYA



Mbunge wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete amesema kuwa  kusemwa sana kumemfanya ajue ni namna gani anatakiwa kuishi kwa watanzania wanapenda kusema na kutaka ufanye wasichojua.msikilize katika mahojiano katika kipindi cha Hello Tz Uhuru Fm.
Previous
Next Post »