Rais Edgar Lungu.
RAIS Edgar Lungu ametangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa urais
nchini Zambia kwa kupata asilimia 50.35 ya kura na kumshinda mpinzani
wake, Hakainde Hichilema aliyepata asilimia 47.67.Chama Kikuu cha Upinzani, UPND kimepinga matokeo hayo na kudai kura zimeibiwa.
Hakainde Hichilema ambae ni mara yake ya tano kugombea urais anadai kuwepo kwa udanganyifu wakati wa upigaji kura siku ya Alhamisi.
Sign up here with your email