MBUNGE WA MOROGORO KUSINI MHE PROSPER MBENA ATEMBELEA WAPIGA KURA WAKE - Rhevan Media

MBUNGE WA MOROGORO KUSINI MHE PROSPER MBENA ATEMBELEA WAPIGA KURA WAKE


Mbunge wa Morogoro Kusini Mhe. Prosper Mbena akiwa njiani kuwatembelea wananchi wake wa kijiji cha Baga mwanzoni mwa wiki hii. Mbena anakuwa Mbunge wa kwanza kutembelea kijiji hicho kilicho mbali na hakina barabara na chenye mto mkubwa wa mvuha na mlima mkali wa Umangu. Wananchi wa huko wanateseka sana kwa  kukosa barabara na daraja kwenye mto Mvuha.


Previous
Next Post »