MBOWE AMJULIA HALI SPIKA WA BUNGE NYUMBANI KWAKE SALASALA JIJINI DAR LEO - Rhevan Media

MBOWE AMJULIA HALI SPIKA WA BUNGE NYUMBANI KWAKE SALASALA JIJINI DAR LEO



Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe leo Jumatano 03/08/2016 amemtembelea Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Yustino Ndugai nyumbani kwake Salasala jijini Dar es salaam, ambae amerejea hivi karibuni kutoka nchini India ambako alikwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.
Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe akizungumza jambo na Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Yustino Ndugai nyumbani kwake Salasala jijini Dar es salaam, alipokwenda kumjulia hali leo.


Previous
Next Post »