Kocha wa zamani wa Man City Manuel Pellegrini ametangazwa
kuwa kocha mpya wa timu ya Hebei China Fortune inayoshiriki ligi kuu ya
China.

Pellegrini,62, anaenda kukinoa kikosi hicho chenye nyota wa zamani wa Psg Ezequiel Lavezzi, pia yupo Gervinho na mchezaji wa zamani wa Chelsea Gael Kakuta.

Sign up here with your email