Akiongea na Sky sports alifunguka kuwa " Sidhani kama kuna Mchezaji anaweza akasema Hapana kwa Manchester United, Ni Timu kubwa , Nimecheza Barcelona, Juventus na hata Ac Milan lakini nafikiri hii ni hatua kubwa niliyopiga"
"Nimekuwa katika nchi nyingi, ila sasa niko Uingereza,Huwa naenda nabeba makombe naondoka,naamini ntafanya hivyo hapa pia." IBRAHIMOVIC Aliendelea kusema kuwa
" Ngoja tusubiri kuona ni nini kitatokea maana huwezi kujua ila naweza nikawa kwa miaka miwili au zaidi ya mitatu,Sitakuwa mahali kwakuwa ni Ibrahimovic nitakuwa sehemu kwakuwa nafanya vizuri na kuleta matokeo, Ni ujio wa Kushinda na kufanya Manchester Ing'are Upya Tena"
Sign up here with your email