Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakijadiliwa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 27 kwa Wakuu wa Nchi na Serikali wa
Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika AU ulioanza jana katika ukumbi wa KCC
mjini Kigali Rwanda. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais John Magufuli
kwenye mkutano huo.Picha na OMR.
Sign up here with your email