MAHAKAMANI KISUTU : WATATU MIKONONI MWA POLISI KWA KUBEBA MABANGO YA KUMKASHIFU MTUKUFU RAIS MAGUFULI. rhevanstudio 11:58:00 rhevanstudio Jana wafuasi wa UKAWA walitiwa mbaroni baada ya kutoke mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe wa kumkashifu Mtukufu Mkuu sana, Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Baadhi ya Mabango yalikuwa yanasomeka... Dikteta uchwara utashindwa Dikteta uchwara nenda Burundi Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email