DKT. MAHINGA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE MHE. RWANDA MH LOISE MUSHIKIWABO JIJINI DAR ES SALAAM - Rhevan Media

DKT. MAHINGA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE MHE. RWANDA MH LOISE MUSHIKIWABO JIJINI DAR ES SALAAM


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe.Loiuse Mushikiwabo, alipomtembelea  katika Ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam. Mazungumzo yao yalijikita katika kuimarisha na kuboresha mahusiano yaliyopo baina ya nchi hizo mbili, pamoja na ziara rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame anayetarajiwa kuwasili nchini leo  asubuhi.

Wakati mazungumzo yakiendelea.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt. Augustine Mahiga (kulia)  na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe.Loiuse Mushikiwabo baada ya mazungumzo yao. Kushoto ni balozi wa Rwanda nchini Mhe. Eugene Kayihura na kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Samuel Shelukindo

Previous
Next Post »