Diamond Platnumz yupo Los Angels California Marekani tayari kwa ajili ya
tuzo za BET 2016, Diamond ambaye yupo nominated katika kipengele cha
msanii bora wa kiume kutokea Afrika, alfajiri ya June 25 2016 amehojiwa
na kipindi cha 106&Park kinachorushwa na BET.