TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA VIWANDA NA MAZINGIRA UNAOENDELEA NCHINI KOREA YA KUSINI - Rhevan Media

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA VIWANDA NA MAZINGIRA UNAOENDELEA NCHINI KOREA YA KUSINI



Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Viwanda Duniani Mr. Li Yong, akimpa zawadi ya picha Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayeshughulikia Viwanda Dr. Adelhelm Meru, walipokutana kwa mazungumzo mafupi wakati wa Mkutano wa "Viwanda na Mazingira" unaoendelea Mjini Ulsan, Korea ya Kusini.


Previous
Next Post »