RAIS MAGUFULI WEKA AKIBA YA MANENO. - Rhevan Media

RAIS MAGUFULI WEKA AKIBA YA MANENO.





Rashid Chilumba
 hrs
Anaandika Zitto Kabwe
Rais Magufuli anaongea mno, sio sawa kwa Kiongozi. Rais ajue kuweka akiba ya maneno.
Yeye ni Kiongozi wa wote, wenye akili na Vilaza. Yeye anapaswa kuwa wa mwisho kuongea ili watu waweze Kukata rufaa kwake.
Yeye akishaongea wananchi ‘aggrieved’ (walioonewa Au kukosewa) waende kwa nani? Waende kwa mungu?
....................................................................
Nakubaliana kikamilifu na mawazo ya Mwanasiasa kijana Zitto Kabwe. Rais Magufuli punguza kusema sana na kukisemea kila kitu.
Waache wasaidizi wakusaidie, ni hatari mno ikitokea kile ulichotamka au kukiamua kikahusishwa moja kwa moja na wewe.
‪#‎Tujisahihishe‬ The future is bright
Previous
Next Post »