Papa Francis
amewataka Wakatoliki Duniani kuwaomba radhi watu wanaoshiriki mapenzi ya
jinsia moja kwa madai kuwa si haki kuwahukumu na kuwachukulia kinyume
kwani kanisa halina mamlaka ya kuwahukumu.
Akizungumza na
waandishi wa habari ndani ya ndege wakati akirejea kutoka Armenia,Papa
Francis kanisa pia linapswa kuwaomba makundi mengine ambayo yametengwa
kama vile wanawake,masikini na watoto ambao wapo katika ajira hatarishi.
Hata hivyo baadhi ya wakatoliki wenye msimamo mkali wamepinga hatua
yake ya kuwazungumzia watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.Sign up here with your email