NDOA YA MENINAH NA MTOTO WA WAZIRI KWISHA, MENINA AFUNGA NDOA NA MTU MWINGINE PICHA ZIKO HAPA . - Rhevan Media

NDOA YA MENINAH NA MTOTO WA WAZIRI KWISHA, MENINA AFUNGA NDOA NA MTU MWINGINE PICHA ZIKO HAPA .



Msanii wa Bongo Fleva Menina amewaacha watu midomo wazi mara baada ya kufunga ndoa mpya huku ikiwa ni uthibitisho kuwa hayuko tena na aliyekuwa mumewe, mtoto waWaziri Sospeter Muhongo Peter Muhongo  ambaye alibadili jina na dini ili kumuoa Meninah. Meninah ameonekana kwenye picha ambayo aliipost mwenyewe kupitia Mtandao wake wa Instagram


Hii ni picha ya mwaka jana wakati Mtoto wa Muhongo akifunga ndoa na Meninah

Previous
Next Post »