Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga simu moja kwa moja (live) kwenye
kipindi cha Clouds 360 kinachomhoji mtayarishaji wa kipindi
kilichorushwa jana cha Take one Zamaradi. Kipindi hicho kilimuonyesha
maisha ya shoga almaarufu KANGE.
Sign up here with your email

