
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum, Shally Raymound na Mary Mwanjelwa

Waziri Mkuu,KassimMajaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Kamishina Valentino Mlowola

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Zamaradi Kawawa

Wabunge wa Viti Maalum (CCM) wakiongozwa na Mhe. Margaret Sitta wakijadili jambo nje ya ukumbi wa Bunge

Waziri wa Habari,Nnauye_Nape akiingia katika viwanja vya Bunge kuanza kikao cha asubuhi cha Bunge hilo mjini Dodoma

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa Majaliwa akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango, Phillip Mpango mara baada.ya kuwasilisha hotuba ya taaarifa ya hali ya uchumi 2015 na mpango wa maendeleo wa taifa 2016/17 mjini Dodoma

Sign up here with your email
