Mmoja wa viongozi wa magenge makubwa zaidi ya uhalifu nchini Italia ambaye amekuwa akitafutwa kwa miaka 20 amekamatwa.
Polisi nchini Italia wanasema kuwa Ernesto Fazzalari mwenye umri wa miaka 46 alikamatwa eneo la kusini la CalabriaAlikuwa akikimbia hukumu ya maisha na mashtaka ya mauaji
Sign up here with your email