BREAKING NEWZZZZ: WATU WAPOTEZA MAISHA NA ZAIDI YA 100 WAMEJERUHIWA KATIKA SHAMBULIO LA KIGAIDI UWANJA WA NDEGE WA ATATURK JIJINI ISTANBUL , UTURUKI USIKU HUU. - Rhevan Media

BREAKING NEWZZZZ: WATU WAPOTEZA MAISHA NA ZAIDI YA 100 WAMEJERUHIWA KATIKA SHAMBULIO LA KIGAIDI UWANJA WA NDEGE WA ATATURK JIJINI ISTANBUL , UTURUKI USIKU HUU.


Kiasi cha watu 32 wameripotiwa kupoteza maisha hadi sasa  na zaidi ya 60 kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi lililotokea katika mlango wa kuingilia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ataturk jijini Istanbul usiku huu katika kile kinachosadikiwa kuwa ni shambulio la kikundi cha ISIS.
inasadikiwa washambulizi magaidi  watatu wa kujitoa muhanga wamesababisha shambulio hilo baada ya kujilipua katika sehemu mbili tofauti za uwanja huo.


Previous
Next Post »