MASHABIKI
wamevunja geti la kuingia uwanjani na wameanza kupambana na polisi
ambao wamelipua mabomu ya machozi na kuwamwagia maji ya
kuwasha.Co-ordinator wa mchezo huo ametoa tahadhari kama hali itaendelea
hivi basi atasimamisha mchezo huo.
Sign up here with your email