BREAKING NEWS
BREAKING NEWS : BUS LA SUPER SAMI LAPATA AJALI USIKU WA MANANE BAADA YA KUKWEPA MAWE YALIYOWEKWA NA WATEKAJI NYARA HUKO MWABUKI MISUNGWI VIFO MAJERUHI PICHA HIZI HAPA.

Hilo ni bus la super Sami lililopata ajali usiku wa manane baada ya
kukuta mawe ya watekaji huko mwabuki misungwi. Lilikuwa linatoka dsm to
mwanza. Kuna vifo na majeruhi kibao