AMKA NA BBC Juni 10, 2016.....OBAMA ATANGAZA RASMI KUMUUNGA MKONO MPINZANI WA TRUMP. - Rhevan Media

AMKA NA BBC Juni 10, 2016.....OBAMA ATANGAZA RASMI KUMUUNGA MKONO MPINZANI WA TRUMP.


Rais wa Marekani Barack Obama ametangaza kumuunga mkono Hillary Clinton kuwa mgombea urais wa chama cha Democratic katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu nchini Marekani.
Amechukua hatua hiyo muda mfupi baada ya kukutana na seneta wa Vermont Bernie Sanders ambaye amekuwa akikabiliana na Bi Clinton katika kinyang’anyiro cha kumchagua mgombea wa chama hicho.


Previous
Next Post »