PSPF YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUSOMEA KWA WANAFUNZI WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MIKOA YA MWANZA NA GEITA. - Rhevan Media

PSPF YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUSOMEA KWA WANAFUNZI WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MIKOA YA MWANZA NA GEITA.

Afisa Uhusiano wa PSPF, Bibi Coleta Mnyamani akiwaelimisha wanafunzi wa shule ya Msingi Nyansalwa iliyoko mkoani Geita kuhusiana na Mfuko wa Penseheni wa PSPF na lengo la kusaidia jamii katika hususan katika masuala ya elimu. Mabegi yenye vifaa vya kusomea yalitolewa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kama msaada kwa wanafunzi waishio kwenye mazingira magumu wa shule ya Msingi Nyansalwa iliyopo Mkoani Geita.
Wanafunzi wa shule ya Msingi Igaka iliyopo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wakifurahia msaada uliotolewa na PSPF kwa wanafunzi waishio katika mazingira magumu shuleni hapo.
 Afisa Uhusiano wa PSPF, Bibi Coleta Mnyamani ,akiongea na kamati ya shule ya Msingi Igaka (ambao hawapo pichani) pamoja na wanafunzi kuhusiana na lengo la Mfuko wa Pensheni wa PSPF kusaidia jamii hasa kwenye nyanja ya elimu nchini.



Previous
Next Post »