Muhusika Mkuu katika filamu ya “Imebuma” Bw. Eliasa Mkaly (Rashidi kisoda) akimbembeleza muigizaji na mtayarishaji wa filamu hiyo Bi Sarah Nyika (Asha Mauno) mara baada ya Bodi ya Filamu Tanzania kusitizasha usambazaji wa filamu hiyo leo. Picha na Raymond Mushumbusi