SERIKALI ya Rais John Magufuli ndani ya mwaka mmoja kutoka sasa itaingia kwenye wakati mgumu wa kujiendesha kutokana na masharti magumu waliyoweka wahisani ili kurejesha misaada, anaandika Yusuf Aboud.
Mtoa taarifa ndani ya serikali na Benki Kuu (BoT) ameeleza kwamba, tayari wataalamu wameonya juu ya kuibuka kwa mfumuko wa bei pia ….
Sign up here with your email