AZMA FC YAPOTEZA MATUMAINI YA UBINGWA BAADA YA SARE NA JKT RUVU. - Rhevan Media

AZMA FC YAPOTEZA MATUMAINI YA UBINGWA BAADA YA SARE NA JKT RUVU.

Klabu ya Azam FC imeshapoteza kabisa matumaini ya ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baada ya kutoka sare ya kufungana mabao 2-2 na JKT Ruvu katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam mchezo ulio chezwa May 4 2016.
19

Kwa matokeo hayo yanaonyesha kwamba, Yanga watajihakikishia kutetea taji hilo Mei 10 wakishinda dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, kwani watafikisha pointi 71 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine ya Ligi Kuu.
hekaheka langoni mwa azam

Matokeo hayo yana inaifanya Azam FC kujiongeazea pointi moja na kufikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 27 na inaweza kumaliza na pointi 69 ikishinda mechi tatu za mwisho, wakati Simba yenye pointi 58 inaweza kumaliza na pointi 70 ikishinda mechi zake nne zilizobaki.
Previous
Next Post »