YANGA YAIFUNGA MGAMBO SHOOTING 2-1 NA KUJIKITA KILELENI MWA LIGI. - Rhevan Media

YANGA YAIFUNGA MGAMBO SHOOTING 2-1 NA KUJIKITA KILELENI MWA LIGI.

 Kipa wa Mgambo Shooting, Said Khamis akiokoa moja ya hatari langoni mwake katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara lwenye Uwanja wa Taifa. Yanga imeshinda 2-1. (Picha na Francis Dande)
Beki wa Mgambo Shooting, Salum Mlima akichuana na Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Previous
Next Post »