Serikali/NSSF wafunge CCTV camera wahalifu wakamatwe watolewe picha magezitini wapate kuona aibu. Faini ya fedha haitoshi watu wana jeuri ya pesa. Tukiacha hivi mwisho taka zitarushwa baharini hapo itakuwa janga, madhara yake makubwa
Sign up here with your email

