WASANII NAVY KENZO WAPATA DILI NONO. - Rhevan Media

WASANII NAVY KENZO WAPATA DILI NONO.


Kundi la muziki Aika na Nah real wamepewa dili la kuitangaza airtel Mtandao wa simu.Wapenzi hao wawili wataitangaza huduma ya Jipime Yatosha.Hii ni hatua nzuri kwa wasanii hao wanaochipukia kwa kasi nchini Tanzania na barani Afrika.
Previous
Next Post »