WAOKOAJI WATAFUTA MANUSURA GUATEMALA. - Rhevan Media

WAOKOAJI WATAFUTA MANUSURA GUATEMALA.

Image copyright
Mamia ya waokoaji katika mji mkuu wa Guatemala, wanaendelea na msako wao kuwatafuta manusura waliofunikwa na taka, baada ya jaa la taka kuporomoka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha.
Maiti nne zimeopolewa huku watu kadhaa wakinusuriwa, wakiwa hai. Wengi wao bado hawajulikani waliko.
Previous
Next Post »