WAFANYABIASHARA WA UGHAIBUNI WATINGA TANZANIA. - Rhevan Media

WAFANYABIASHARA WA UGHAIBUNI WATINGA TANZANIA.



Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akiangalia chakula cha Ng'ombe wakati alipotembelea mashamba ya ng'ombe na kiwanda cha MilkCom kinachomilikiwa na makampuni ya OilCom Group kilichopo Kigamboni wilayani Temeke jijini Dar es salaam akiongozana na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini humo, Ujumbe huo ulikuja nchini kwa lengo la kuangalia fursa za uwekezaji zilizopo nchini Tanzania na ushirikiano wa kibiashara kati ya nchi hizi mbili.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-KIGAMBONI)
Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akiongozwa na Mkurugenzi wa kiwanda cha Milkcom Bw. Salum Nahdi wakati alipokuwa akitembelea kiwanda hicho. 
Baadhi ya ng'ombe katika shabla la kampuni ya MilkCom
Dk. Sajeev Kumar Meneja wa Shamba la mifugo akitoa maelezo kwa Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic na ujumbe wake wakati alipotembelea shamba hilo.

Previous
Next Post »