Wadau wa michezo wakishirikiana kwa pamoja wanaweza kujenga nguvu ya kuibua vipaji vya wanamichezo ambao wataliletea taifa sifa nje ya nchi.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa shule ya sekondari ya Makongo, Meja Selestine Mwangasi ambaye ametaka uvumilivu wakati huu wa kuanza michezo ya UMISETA ili iwe na mafanikio, kama ilivyo Copa Coca Cola.
Mkuu wa shule ya Sekondari Makongo Meja Selestine Mwangasi wa pili kulia waliosimama, akiwa na viongozi wenzake na kikosi cha timu ya Sekondari ya Makongo.
Wadau wa michezo wakishirikiana kwa pamoja wanaweza kujenga nguvu ya kuibua vipaji vya wanamichezo ambao wataliletea taifa sifa nje ya nchi.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa shule ya sekondari ya Makongo, Meja Selestine Mwangasi ambaye ametaka uvumilivu wakati huu wa kuanza michezo ya UMISETA ili iwe na mafanikio, kama ilivyo Copa Coca Cola.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa shule ya sekondari ya Makongo, Meja Selestine Mwangasi ambaye ametaka uvumilivu wakati huu wa kuanza michezo ya UMISETA ili iwe na mafanikio, kama ilivyo Copa Coca Cola.
Meja Mwangasi ambaye pia ni kiongozi wa kamati ya UMISETA Dar es Salaam, amesema michezo hiyo imekuwa na mafanikio ya kutoa vipaji ambavyo vinaonekana na kuingia kwenye michuano ya Copa Coca Cola, akitolea mfano wa kina Mbwana Samatta ambaye alitokea huko, hadi kufika kucheza soka Ulaya.
Amesema viongozi wa UMISETA wana wajibu mkubwa kukabiliana na changamoto zitakazo jitokeza wakati huu.
Copa Coca Cola ilizindua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na taaluma UMISETA kwa mkoa wa Dar es Salaam wiki iliyopita kwenye uwanja wa Uhuru, kabla ya kupeleka mikoani siku chache zijazo, kisha kupata timu zitakazo shindana kitaifa baadae mwaka huu.
Sign up here with your email