UFISADI ULIOTUKUKA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. - Rhevan Media

UFISADI ULIOTUKUKA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI.



Lugumi ndiyo nani? jeuri ya kukataa kuipatia kamati ya bunge mkataba kati yake na jeshi la Polisi inatoka wapi?kuna nani humo ndani?kampuni yake imelipwa shilingi Bilioni 34 kati ya bilioni 37 kwa ajili ya kufunga vifaa vya 108 vya kuhifadhi alama za vidole.
Chakushangaza,pamoja na kulipwa bilioni 34,amefunga vifaa 14 tu na katika hivyo ni viwili pekee ndivyo vinavyofanya kazi,inadaiwa kampuni ya Lugumi ilitumia shilingi bilioni 5 kwa ajili ya mafunzo ya watu watano.!!!!!!!!!!!!!
Lugumi ni nani?ana akina nani ndani ya kampuni yake?,je ndiyo huyu nayemjua?kama ndiyi yeye,aliwezaje kupewa mkataba mkubwa kiasi hicho?Lugumi ni nani?kwa nini kuna kusita kuupeleka mkataba wake na jeshi la Polisi kamati ya bunge ya PAC.
Previous
Next Post »