TETEMEKO LA ARDHI LAUWA WATU 9 JAPAN. - Rhevan Media

TETEMEKO LA ARDHI LAUWA WATU 9 JAPAN.

Image copyrightReuters
Image captionUharibifu wa tetemeko la ardhi nchini Japan
Takriban watu tisa wameuwa wakati wa tetemeko kubwa la ardhi lililokumba eneo la kusini mwa Japan siku ya Alhamisi.
Wengi wa waathiriwa ni kutoka mji wa Mashariki ambapo jengo moja liliporomoka na pia nyumba nyingi kuharibiwa.
Kote nchini, zaidi ya watu 40,000 waliondoka manyumbani mwao lakini baadhi yao wameanza kurudi licha ya kuwepo mitetemeko midogo midogo.
Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe amesema kwa serikali imetuma polisi, wazema moto na wanajeshi kuendesha oparesheni za uokoaji.
Previous
Next Post »