
Shirika la umeme nchini Tanesco limetoa tahadhari kwa wananchi kuhakikisha hawashiki nyaya na nguzo zilizoanguka hasa katika kipindi cha mvua huku pia ikisema ni vema wananchi wakatoa taarifa kwa ofisi za Tanesco pindi wanapoona nguzo zilizoangushwa na upepo.
Sign up here with your email
