STEVE KERR KOCHA BORA WA MWAKA NBA - Rhevan Media

STEVE KERR KOCHA BORA WA MWAKA NBA

Steve Kerr wa Golden State Warriors ametangazwa kuwa kocha bora wa mwaka wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA.
Steve Kerr wa Golden State Warriors ametangazwa kuwa kocha bora wa mwaka wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA.
Kerr alikosa karibu kambi nzima ya mazoezi na michezo ya mwanzo, 43 ya ligi, kabla ya kurejea kwenye msimu mpya na kuiongoza Golden State kushinda 34-5 kumaliza msimu wa kihistoria kwenye NBA.
Warriors walipata alama 39-4, kuanza msimu, wakati walipokuwa chini ya kocha msaidizi Luke Walton.
Chini ya Kerr, Wirriors walimaliza mzunguuko wa kawaida kwa kushinda michezo 73-9, na sasa wanashikilia rekodi ya kuwa timu iliyoshinda michezo mingi kwenye msimu mmoja katika hatua za awali, wakivunja rekodi ya Chicago Bulls ya msimu wa 1995-96 ya michezo 72.
Previous
Next Post »