
"Mawaziri wengine nasikia wanalalamika kweli,sasa nimetuma watu wawarekodi kwa sababu mindset(fikra)zao bado hazijabadilika,wanafikiri watu bado tupo kwenye trend hiyo hiyo,wasomi ni wengi,unaweza kuwateuwa leo na kesho ukawabadilisha ili mradi twende kwenye trend ninayoitaka"John Pombe Magufuli"11.4.2016..
Sign up here with your email
